SlideShare una empresa de Scribd logo
1 de 14
Mofolojia
ya

kiswahili
Malengo ya somo hili
• Kueleza na kufafanua maana ya mofolojia
• Kutambua na kufafanua zaidi mofolojia na
vipashio vyake.
Kunihusu mimi
• GEOPHREY SANGA
• Mwalimu wa shahada ya ualimu katika
masomo ya kiswahili and ICT(TEHAMA)
• BED ICT
• Email: sangageophrey@gmail.com
utangulizi
•

Maana ya mofolojia
Maana ya mofolojia
• Mofolojia ni tafsiri ya neon la kiingereza
“Morphology”. Neno hili nalo linatokana na
neon la kiyunani “Morphe” lenye maana ya
muundo au umbo ( Aurbach et al 1971; 106).
• Mofolojia ni neno linalotumiwa kumaanisha
utanzu wa isimu unaoshughulikia muundo wa
maneno ( Habwe na Karanja 2004).
Maana..........
• Hartman (1972). Mofolojia ni tawi la
sarufi ambalo hushughulika na uchunguzi
na uchambuzi wa maumbo, fani na aina
za maneno yalivyo sasa pamoja na
historia zake
Maana.........
• Kwa ujumla mofolojia ni taaluma
inayoshughulikia lugha pamoja na
mpangilio wake katika uundaji wa
maneno. Vipashio hivyo vya lugha
huitwa mofimu
Uhusiano uliopo kati ya mofolojia na
matawi mengine ya sarufi
• Mofolojia na fonolojia
• Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya
mofolojia na fonolojia:i. Vipashio vya kifonolojia ndivyo hutumika
katika kuunda vipashio vya kimofolojia
mfano
Mofolojia na fonolojia
• Vipashio vya mofolojia ni fonimu, mfuatano
wa fonimu ndio huuna vipashio vya
kimofolojia ambavyo ni mofimu
Mfano
• Fonimu: i, p, t, a, huunda
• mofimu: Pit-a
• Hivyo basi neno pita limeundwa na mofimu mbili na fonimu nne
Mofolojia na fonolojia
ii) Uhusiano mwingine kati ya fonolojia na
mofolojia ni kwamba, kanuni za kifonolojia
hutumika kueleza maumbo ya kimofolojia
ambayo yanaathiriana.
Mfano
Katika neno mu-ana
mwu-alimu
Mofolojia na fonolojia
• Kipashio [mu] katika mifano hapo juu
kinajitokeza kama [mw-] inapofuatwa na irabu
ambayo.

Mu

mw-/-I
Mofolojia na sintaksia
i. Vipashio vya msingi vya kimofolojia ndivyo
hutumika katika kuundia daraja hili la
sintaksia
Mfano

Neno hutumika kuundia sentensi
Mwisho

kwa

asante

usomaji

Mawasiliano: sanagageophrey@gmsil.com
©2013
Maswali na majibu
• Kwa maswali au mchango wowote kuhusuiana
na kiswahili nifuate kwenye email yangu ya
• sangageophrey@gmail.com

Más contenido relacionado

La actualidad más candente

La actualidad más candente (20)

USHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILIUSHAIRI WA KISWAHILI
USHAIRI WA KISWAHILI
 
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojiaUmuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
Umuhimu wa kujifunza nadharia za fonolojia
 
TAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANITAFSIRI NA UKALIMANI
TAFSIRI NA UKALIMANI
 
UTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHAUTUMIZI WA LUGHA
UTUMIZI WA LUGHA
 
Semantiki
SemantikiSemantiki
Semantiki
 
Maana ya maana!
Maana ya maana!Maana ya maana!
Maana ya maana!
 
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya KiswahiliChimbuko na Asili ya Kiswahili
Chimbuko na Asili ya Kiswahili
 
Uandishi wa matangazo
Uandishi wa matangazoUandishi wa matangazo
Uandishi wa matangazo
 
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumlaLahaja za kiswahili kwa ujumla
Lahaja za kiswahili kwa ujumla
 
FASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLAFASIHI KWA UJUMLA
FASIHI KWA UJUMLA
 
Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3Mjengo wa tungo 3
Mjengo wa tungo 3
 
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZIMAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
MAENDELEO YA FASIHI SIMULIZI
 
Peter newmark
Peter newmarkPeter newmark
Peter newmark
 
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishiUhakiki wa kazi za fasihi andishi
Uhakiki wa kazi za fasihi andishi
 
Kiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au KrioliKiswahili ni Pijini au Krioli
Kiswahili ni Pijini au Krioli
 
Theoretical linguistics report
Theoretical linguistics reportTheoretical linguistics report
Theoretical linguistics report
 
Tpological Universals & SLA (Linguistic Typology)
Tpological Universals & SLA (Linguistic Typology)Tpological Universals & SLA (Linguistic Typology)
Tpological Universals & SLA (Linguistic Typology)
 
Development of translation theory (ling)
Development of translation theory (ling)Development of translation theory (ling)
Development of translation theory (ling)
 
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
Chuo kikuu cha mtakatifu agustino (autosaved)
 
Ethiopic Writing System
Ethiopic Writing SystemEthiopic Writing System
Ethiopic Writing System
 

Mofolojia ya kiswahili

  • 2. Malengo ya somo hili • Kueleza na kufafanua maana ya mofolojia • Kutambua na kufafanua zaidi mofolojia na vipashio vyake.
  • 3. Kunihusu mimi • GEOPHREY SANGA • Mwalimu wa shahada ya ualimu katika masomo ya kiswahili and ICT(TEHAMA) • BED ICT • Email: sangageophrey@gmail.com
  • 5. Maana ya mofolojia • Mofolojia ni tafsiri ya neon la kiingereza “Morphology”. Neno hili nalo linatokana na neon la kiyunani “Morphe” lenye maana ya muundo au umbo ( Aurbach et al 1971; 106). • Mofolojia ni neno linalotumiwa kumaanisha utanzu wa isimu unaoshughulikia muundo wa maneno ( Habwe na Karanja 2004).
  • 6. Maana.......... • Hartman (1972). Mofolojia ni tawi la sarufi ambalo hushughulika na uchunguzi na uchambuzi wa maumbo, fani na aina za maneno yalivyo sasa pamoja na historia zake
  • 7. Maana......... • Kwa ujumla mofolojia ni taaluma inayoshughulikia lugha pamoja na mpangilio wake katika uundaji wa maneno. Vipashio hivyo vya lugha huitwa mofimu
  • 8. Uhusiano uliopo kati ya mofolojia na matawi mengine ya sarufi • Mofolojia na fonolojia • Kuna uhusiano wa moja kwa moja kati ya mofolojia na fonolojia:i. Vipashio vya kifonolojia ndivyo hutumika katika kuunda vipashio vya kimofolojia mfano
  • 9. Mofolojia na fonolojia • Vipashio vya mofolojia ni fonimu, mfuatano wa fonimu ndio huuna vipashio vya kimofolojia ambavyo ni mofimu Mfano • Fonimu: i, p, t, a, huunda • mofimu: Pit-a • Hivyo basi neno pita limeundwa na mofimu mbili na fonimu nne
  • 10. Mofolojia na fonolojia ii) Uhusiano mwingine kati ya fonolojia na mofolojia ni kwamba, kanuni za kifonolojia hutumika kueleza maumbo ya kimofolojia ambayo yanaathiriana. Mfano Katika neno mu-ana mwu-alimu
  • 11. Mofolojia na fonolojia • Kipashio [mu] katika mifano hapo juu kinajitokeza kama [mw-] inapofuatwa na irabu ambayo. Mu mw-/-I
  • 12. Mofolojia na sintaksia i. Vipashio vya msingi vya kimofolojia ndivyo hutumika katika kuundia daraja hili la sintaksia Mfano  Neno hutumika kuundia sentensi
  • 14. Maswali na majibu • Kwa maswali au mchango wowote kuhusuiana na kiswahili nifuate kwenye email yangu ya • sangageophrey@gmail.com